Nehemia 10:12 - Swahili Revised Union Version Zakuri, Sherebia, Shebania; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Zakuri, Sherebia, Shebania, Biblia Habari Njema - BHND Zakuri, Sherebia, Shebania, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Zakuri, Sherebia, Shebania, Neno: Bibilia Takatifu Zakuri, Sherebia, Shebania, Neno: Maandiko Matakatifu Zakuri, Sherebia, Shebania, BIBLIA KISWAHILI Zakuri, Sherebia, Shebania; |
Tena Walawi; Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda, na Matania, aliyekuwa juu ya shukrani, yeye na ndugu zake.
Sehemu iliyofuata ilijengwa na watu wa Yeriko. Na baada yao Zakuri mwana wa Imri akajenga.
Tena Yeshua, na Bani, na Sherebia, na Yamini, na Akubu, na Shabethai, na Hodai, na Maaseya, na Kelita, na Azaria, na Yozabadi, na Hanani, na Pelaya, nao ni Walawi, wakawafahamisha watu torati; na watu wakasimama mahali pao.
Ndipo wakasimama katika jukwaa la Walawi, Yeshua, na Bani, na Kadmieli, na Shebania, na Buni, na Sherebia, na Bani, na Kenani, wakamlilia BWANA, Mungu wao, kwa sauti kuu.