Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;
Mwanzo 7:24 - Swahili Revised Union Version Maji yakapata nguvu juu ya nchi siku mia na hamsini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Maji hayo yalidumu katika nchi siku 150. Biblia Habari Njema - BHND Maji hayo yalidumu katika nchi siku 150. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Maji hayo yalidumu katika nchi siku 150. Neno: Bibilia Takatifu Maji yakaifunika dunia kwa siku mia moja na hamsini. Neno: Maandiko Matakatifu Maji yakaifunika dunia kwa siku 150. BIBLIA KISWAHILI Maji yakapata nguvu juu ya nchi siku mia na hamsini. |
Na Mungu akamkumbuka Nuhu, na kila kilicho hai, na wanyama wote waliokuwamo pamoja naye katika safina; Mungu akavumisha upepo juu ya nchi, maji yakapungua;