Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.
Mwanzo 49:12 - Swahili Revised Union Version Macho yake yatakuwa mekundu kwa mvinyo, Na meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa. Biblia Habari Njema - BHND “Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa. Neno: Bibilia Takatifu Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. Neno: Maandiko Matakatifu Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. BIBLIA KISWAHILI Macho yake yatakuwa mekundu kwa mvinyo, Na meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. |
Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.
Zabuloni atakaa pwani ya bahari, Naye atakuwa kama pwani za kuegesha merikebu, Na mpaka wake utakuwa kando ya Sidoni.
Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?