Akaondoka usiku ule akawatwaa wakeze wawili, na vijakazi wake wawili, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko cha Yaboki.
Mwanzo 32:23 - Swahili Revised Union Version Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Biblia Habari Njema - BHND Baada ya kuwavusha ngambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya kuwavusha ng'ambo ya kijito wale waliokuwa nao na mali yake yote, Neno: Bibilia Takatifu Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali yake yote. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya kuwavusha ng’ambo ya kijito, alivusha pia mali zake zote. BIBLIA KISWAHILI Akawatwaa, akawavusha mto, akavusha na vyote alivyokuwa navyo. |
Akaondoka usiku ule akawatwaa wakeze wawili, na vijakazi wake wawili, na wanawe kumi na mmoja, akavuka kivuko cha Yaboki.