Abrahamu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.
Mwanzo 26:6 - Swahili Revised Union Version Isaka akakaa katika Gerari. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Isaka akakaa huko Gerari. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Isaka akakaa huko Gerari. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Isaka akakaa huko Gerari. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo Isaka akaishi huko Gerari. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo Isaka akaishi huko Gerari. BIBLIA KISWAHILI Isaka akakaa katika Gerari. |
Abrahamu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.
Kwa sababu Abrahamu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu.
Watu wa mahali hapo wakamwuliza habari za mkewe. Akasema, Ni dada yangu huyu maana aliogopa kusema, Ni mke wangu, watu wa nchi wasije wakamwua kwa ajili ya Rebeka; kwa maana alikuwa mzuri wa uso.