Abrahamu akamwambia mtumishi wake, mzee wa nyumba yake, aliyetawala vitu vyake vyote, Tafadhali uutie mkono wako chini ya paja langu,
Mwanzo 24:34 - Swahili Revised Union Version Akasema, Mimi ni mtumwa wa Abrahamu, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yule mtu akasema, “Mimi ni mtumishi wa Abrahamu. Biblia Habari Njema - BHND Yule mtu akasema, “Mimi ni mtumishi wa Abrahamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yule mtu akasema, “Mimi ni mtumishi wa Abrahamu. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo akasema, “Mimi ni mtumishi wa Ibrahimu. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo akasema, “Mimi ni mtumishi wa Ibrahimu. BIBLIA KISWAHILI Akasema, Mimi ni mtumwa wa Abrahamu, |
Abrahamu akamwambia mtumishi wake, mzee wa nyumba yake, aliyetawala vitu vyake vyote, Tafadhali uutie mkono wako chini ya paja langu,
Akaandaliwa chakula, lakini akasema, Sili mpaka niseme kwanza maneno yangu. Akamwambia, Haya, sema.