hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana BWANA Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;
Mwanzo 2:6 - Swahili Revised Union Version maji yakapanda katika nchi, yakatia unyevu juu ya uso wote wa ardhi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Biblia Habari Njema - BHND Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hata hivyo, maji yalitoka ardhini yakainywesha ardhi yote. Neno: Bibilia Takatifu lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi. Neno: Maandiko Matakatifu lakini umande ulitokeza kutoka ardhini na kunyesha uso wote wa nchi: BIBLIA KISWAHILI maji yakapanda katika nchi, yakatia unyevu juu ya uso wote wa ardhi. |
hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana BWANA Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa kiumbe hai.
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika ghala zake.