Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.
Mwanzo 10:26 - Swahili Revised Union Version Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yoktani alikuwa baba wa Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, Biblia Habari Njema - BHND Yoktani alikuwa baba wa Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yoktani alikuwa baba wa Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, Neno: Bibilia Takatifu Yoktani alikuwa baba wa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, Neno: Maandiko Matakatifu Yoktani alikuwa baba wa: Almodadi, Shelefu, Hasarmawethi, Yera, BIBLIA KISWAHILI Yoktani akamzaa Almodadi, na Shelefu, na Hasarmawethi, na Yera, |
Eberi akazaliwa wana wawili wa kiume; jina la wa kwanza ni Pelegi maana katika siku zake nchi iligawanyika; na jina la nduguye ni Yoktani.