Methali 8:31 - Swahili Revised Union Version Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema nikifurahia dunia na wakazi wake, na kupendezwa kuwa pamoja na wanadamu. Biblia Habari Njema - BHND nikifurahia dunia na wakazi wake, na kupendezwa kuwa pamoja na wanadamu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza nikifurahia dunia na wakazi wake, na kupendezwa kuwa pamoja na wanadamu. Neno: Bibilia Takatifu nikifurahi katika dunia yake yote nami nikiwafurahia wanadamu. Neno: Maandiko Matakatifu nikifurahi katika dunia yake yote nami nikiwafurahia wanadamu. BIBLIA KISWAHILI Nikiifurahia dunia inayokaliwa na watu; Na furaha yangu ilikuwa pamoja na wanadamu. |
Basi, kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu, huku akijua ya kuwa saa yake imefika, atakayotoka katika ulimwengu kwenda kwa Baba, naye akiwa amewapenda watu wake katika ulimwengu, aliwapenda upeo.
Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenituma, nikaimalize kazi yake.
Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.