Ikawa alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, akachungulia dirishani, akamwona Isaka anachezacheza na Rebeka mkewe.
Methali 7:6 - Swahili Revised Union Version Maana katika dirisha la nyumba yangu Nilichungulia katika shubaka yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Siku moja dirishani mwa nyumba yangu, nilichungulia nje kupitia viunzi vya dirisha, Biblia Habari Njema - BHND Siku moja dirishani mwa nyumba yangu, nilichungulia nje kupitia viunzi vya dirisha, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Siku moja dirishani mwa nyumba yangu, nilichungulia nje kupitia viunzi vya dirisha, Neno: Bibilia Takatifu Kwenye dirisha la nyumba yangu nilitazama nje kupitia upenyo kwenye mwimo wa dirisha. Neno: Maandiko Matakatifu Kwenye dirisha la nyumba yangu nilitazama nje kupitia upenyo kwenye mwimo wa dirisha. BIBLIA KISWAHILI Maana katika dirisha la nyumba yangu Nilichungulia katika shubaka yake. |
Ikawa alipokuwa amekaa huko siku nyingi, Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, akachungulia dirishani, akamwona Isaka anachezacheza na Rebeka mkewe.
Ikawa, sanduku la BWANA lilipoingia mji wa Daudi, Mikali binti Sauli, akachungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi akirukaruka na kucheza mbele za BWANA; akamdharau moyoni mwake.
Mpendwa wangu ni kama paa, au ayala. Tazama, asimama nyuma ya ukuta wetu, Achungulia dirishani, atazama kimiani.
Alichungulia dirishani, akalia, Mama yake Sisera alilia dirishani; Mbona gari lake linakawia kufika? Mbona gurudumu za gari lake zinakawia?