Methali 6:4 - Swahili Revised Union Version Usiache macho yako kupata usingizi, Wala kope za macho yako kusinzia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Jitahidi usiache macho yako yapate usingizi, wala kope za macho yako zisinzie. Biblia Habari Njema - BHND Jitahidi usiache macho yako yapate usingizi, wala kope za macho yako zisinzie. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Jitahidi usiache macho yako yapate usingizi, wala kope za macho yako zisinzie. Neno: Bibilia Takatifu Usiruhusu usingizi machoni pako, usiruhusu kope zako zisinzie. Neno: Maandiko Matakatifu Usiruhusu usingizi machoni pako, usiruhusu kope zako zisinzie. BIBLIA KISWAHILI Usiache macho yako kupata usingizi, Wala kope za macho yako kusinzia. |
Sasa, mwanangu, fanya hivi ukajiokoe, Kwa kuwa umejitia mkononi mwa jirani yako; Nenda ukanyenyekee, na kumsihi jirani yako.
Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.
Kwa maana kuna wakati ambapo malaika hushuka, akaingia katika lile bwawa, akayatibua maji. Basi yeye aliyeingia wa kwanza baada ya maji kutibuliwa, akapona ugonjwa wote uliokuwa umempata.]