Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Methali 30:18 - Swahili Revised Union Version Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, naam, mambo manne nisiyoyaelewa: Biblia Habari Njema - BHND Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, naam, mambo manne nisiyoyaelewa: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, naam, mambo manne nisiyoyaelewa: Neno: Bibilia Takatifu “Kuna vitu vitatu vinavyonishangaza sana, naam, vinne nisivyovielewa: Neno: Maandiko Matakatifu “Kuna vitu vitatu vinavyonishangaza sana, naam, vinne nisivyovielewa: BIBLIA KISWAHILI Kuna mambo matatu yaliyo ya ajabu kwangu, Naam, kuna manne nisiyoyafahamu. |
Ni nani huyu afichaye ushauri bila maarifa? Kwa maana, nimesema maneno nisiyoyafahamu, Mambo ya ajabu ya kunishinda mimi, nisiyoyajua.
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling'oa, Na vifaranga vya tai watalila.
Mwendo wa tai katika hewa; Na mwendo wa nyoka juu ya mwamba; Mwendo wa merikebu katikati ya bahari; Na mwendo wa mtu pamoja na msichana.