Methali 2:11 - Swahili Revised Union Version Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Busara itakulinda, ufahamu utakuhifadhi; Biblia Habari Njema - BHND Busara itakulinda, ufahamu utakuhifadhi; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Busara itakulinda, ufahamu utakuhifadhi; Neno: Bibilia Takatifu Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. Neno: Maandiko Matakatifu Busara itakuhifadhi na ufahamu utakulinda. BIBLIA KISWAHILI Busara itakulinda; Ufahamu utakuhifadhi. |
Iwapo chuma hakipati, wala mtu hakinoi; Ndipo hana budi kutumia nguvu zaidi. Lakini yafaa kutumia hekima, na kufanikiwa.
Basi angalieni sana jinsi mnavyoenda; si kama watu wasio na hekima bali kama watu wenye hekima;