Na Israeli wote wakapata habari za hukumu ile aliyoihukumu mfalme wakamwogopa mfalme; maana waliona ya kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake, ili afanye hukumu.
Methali 1:3 - Swahili Revised Union Version kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa. Biblia Habari Njema - BHND zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza zawafanya kuwa na nidhamu, utaratibu, uadilifu, haki na kutenda kwa usawa. Neno: Bibilia Takatifu kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; Neno: Maandiko Matakatifu kwa kujipatia nidhamu na busara, kufanya lililo sawa, haki na bila kupendelea; BIBLIA KISWAHILI kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hukumu na adili. |
Na Israeli wote wakapata habari za hukumu ile aliyoihukumu mfalme wakamwogopa mfalme; maana waliona ya kuwa hekima ya Mungu ilikuwa ndani yake, ili afanye hukumu.
Uyapokee, tafadhali, mafunzo yatokayo kinywani mwake, Na maneno yake yaweke moyoni mwako.
Huyo Mhubiri akachunguza ili apate kuona maneno yapendezayo, na yale yaliyoandikwa kwa unyofu, yaani, maneno ya kweli.