Atufundishaye zaidi ya wanyama wa nchi, Na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?
Methali 1:17 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa mtego hutegwa bure, Mbele ya macho ya ndege yeyote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Biblia Habari Njema - BHND Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mtego utegwao huku ndege anaona, mtego huo wategwa bure. Neno: Bibilia Takatifu Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona! Neno: Maandiko Matakatifu Tazama ni jinsi gani ilivyo kazi bure kutandaza wavu wakati ndege wote wanakuona! BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa mtego hutegwa bure, Mbele ya macho ya ndege yeyote. |
Atufundishaye zaidi ya wanyama wa nchi, Na kutufanya wenye hekima kuliko ndege wa angani?
Hata mshale umchome maini; Kama ndege aendaye haraka mtegoni; Wala hajui ya kuwa ni hasara ya nafsi yake.
Ng'ombe amjua bwana wake, Na punda ajua kibanda cha bwana wake; Bali Israeli hajui, watu wangu hawafikiri.
Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za BWANA.