Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
Mathayo 9:7 - Swahili Revised Union Version Akaondoka, akaenda zake nyumbani kwake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake. Biblia Habari Njema - BHND Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake. Neno: Bibilia Takatifu Yule mtu akasimama, akaenda nyumbani mwake. Neno: Maandiko Matakatifu Yule mtu akasimama, akaenda nyumbani kwake. BIBLIA KISWAHILI Akaondoka, akaenda zake nyumbani kwake. |
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
Makutano walipomwona, walishikwa na hofu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu amri ya namna hii.