Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Mathayo 25:7 - Swahili Revised Union Version Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Biblia Habari Njema - BHND Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wale wasichana wote wakaamka, wakazitayarisha taa zao. Neno: Bibilia Takatifu “Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao. Neno: Maandiko Matakatifu “Ndipo wale wanawali wote wakaamka na kuzitengeneza taa zao. BIBLIA KISWAHILI Mara wakaondoka wanawali wale wote, wakazitengeneza taa zao. |
Ndipo ufalme wa mbinguni utakapofanana na wanawali kumi, waliotwaa taa zao, wakatoka kwenda kumlaki bwana arusi.
Wale wapumbavu wakawaambia wale wenye busara, Tupeni mafuta yenu kidogo; maana taa zetu zinazimika.
Kwa hiyo, wapenzi, mnapoyangojea mambo hayo, fanyeni bidii ili mwonekane mkiwa na amani, bila doa wala dosari mbele yake.
Uwe mwenye kukesha, ukayaimarishe mambo yaliyobakia, yanayotaka kufa. Maana sikuona matendo yako kuwa yametimilika mbele za Mungu wangu.