Mathayo 25:13 - Swahili Revised Union Version Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Biblia Habari Njema - BHND Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Yesu akasema, “Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa. Neno: Bibilia Takatifu “Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. Neno: Maandiko Matakatifu “Kwa hiyo kesheni, kwa sababu hamjui siku wala saa. BIBLIA KISWAHILI Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa. |
Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ili mpate kuokoka katika haya yote yatakayotokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
Kwa hiyo kesheni, mkikumbuka ya kwamba miaka mitatu, usiku na mchana, sikuacha kumwonya kila mtu kwa machozi.
Bali wewe, uwe mwenye kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiza huduma yako kwa ukamilifu.
Muwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka zunguka, akitafuta mtu ammeze.
(Tazama, naja kama mwizi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)