Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake?
Mathayo 24:46 - Swahili Revised Union Version Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Biblia Habari Njema - BHND Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo. Neno: Bibilia Takatifu Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. Neno: Maandiko Matakatifu Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo. BIBLIA KISWAHILI Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. |
Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake?
Kisha Mfalme atawaambia wale walioko katika mkono wake wa kulia, Njooni, mliobarikiwa na Baba yangu, urithini ufalme mliowekewa tayari tangu kuumbwa ulimwengu;
Heri watumwa wale, ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesha. Amin, nawaambieni, atajifunga na kuwakaribisha chakulani, atakuja na kuwahudumia.
(Tazama, naja kama mwizi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)
Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.