Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.
Mathayo 24:20 - Swahili Revised Union Version Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato! Biblia Habari Njema - BHND Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato! Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato! Neno: Bibilia Takatifu Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato. Neno: Maandiko Matakatifu Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi au siku ya Sabato. BIBLIA KISWAHILI Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. |
Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba.
Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe.
Kisha wakarudi kwenda Yerusalemu kutoka mlima ulioitwa wa Mizeituni, ulio karibu na Yerusalemu, wapata mwendo wa sabato.