Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.
Mathayo 23:36 - Swahili Revised Union Version Amin, nawaambieni, Mambo hayo yote yatakuja juu ya kizazi hiki. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Biblia Habari Njema - BHND Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nawaambieni kweli, kizazi hiki kitapata adhabu kwa sababu ya mambo haya. Neno: Bibilia Takatifu Amin, nawaambia, haya yote yatakuja kwa kizazi hiki. Neno: Maandiko Matakatifu Amin, nawaambia, haya yote yatakuja juu ya kizazi hiki. BIBLIA KISWAHILI Amin, nawaambieni, Mambo hayo yote yatakuja juu ya kizazi hiki. |
Lakini watakapowafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawaambia, Hamtaimaliza miji ya Israeli, hata ajapo Mwana wa Adamu.