Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Mathayo 16:15 - Swahili Revised Union Version Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Neno: Bibilia Takatifu Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Neno: Maandiko Matakatifu Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” BIBLIA KISWAHILI Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi kuwa ni nani? |
Akajibu, akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa.
Wakasema, Wengine hunena u Yohana Mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.
Naye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu, akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.
Akawaambia, Nanyi mwasema ya kwamba mimi ni nani? Petro akamjibu akasema, Ndiwe Kristo wa Mungu.