Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe.
Mathayo 13:56 - Swahili Revised Union Version Na dada zake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Biblia Habari Njema - BHND Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Na dada zake je, si wote wako hapa pamoja nasi? Basi, amepata wapi haya yote?” Neno: Bibilia Takatifu Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?” Neno: Maandiko Matakatifu Nao dada zake wote, hawako hapa pamoja nasi? Mtu huyu amepata wapi basi mambo haya yote?” BIBLIA KISWAHILI Na dada zake wote hawapo hapa petu? Basi huyu amepata wapi haya yote? |
Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe.
Huyu si yule seremala, mwana wa Mariamu, na ndugu yao Yakobo, na Yose, na Yuda, na Simoni? Na dada zake hawapo hapa petu? Wakajikwaa kwake.