Mathayo 13:53 - Swahili Revised Union Version Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipomaliza kusema mifano hiyo alitoka mahali hapo, Neno: Bibilia Takatifu Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka. Neno: Maandiko Matakatifu Isa alipomaliza kutoa mifano hii, akaondoka. BIBLIA KISWAHILI Ikawa Yesu alipoimaliza mifano hiyo, alitoka akaenda zake. |
Akawaambia, Kwa sababu hiyo, kila mwandishi mwenye elimu ya ufalme wa mbinguni amefanana na mtu mwenye nyumba atoaye katika hazina yake vitu vipya na vya kale.