Ikakua, ikawa mzabibu wenye kuenea sana, wa kimo kifupi, ambao matawi yake yalimgeukia, na mizizi yake ilikuwa chini yake; basi ukawa mzabibu, ukatoa matawi, ukachipuza vichipuko.
Mathayo 13:26 - Swahili Revised Union Version Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Biblia Habari Njema - BHND Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, mimea ilipoota na kuanza kuchanua, magugu pia yakaanza kuonekana. Neno: Bibilia Takatifu Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. Neno: Maandiko Matakatifu Ngano ilipoota na kutoa masuke, magugu nayo yakatokea. BIBLIA KISWAHILI Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu. |
Ikakua, ikawa mzabibu wenye kuenea sana, wa kimo kifupi, ambao matawi yake yalimgeukia, na mizizi yake ilikuwa chini yake; basi ukawa mzabibu, ukatoa matawi, ukachipuza vichipuko.
lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
Watumwa wa mwenye nyumba wakaenda wakamwambia, Bwana, hukupanda mbegu njema katika shamba lako? Limepata wapi basi magugu?