Na itakuwa katika siku hiyo, shina la Yese lisimamalo kuwa ishara kwa makabila ya watu, yeye ndiye ambaye mataifa watamtafuta; na mahali pake pa kupumzikia patakuwa na utukufu.
Mathayo 12:21 - Swahili Revised Union Version Na jina lake Mataifa watalitumainia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwake yeye mataifa yatakuwa na matumaini.” Biblia Habari Njema - BHND Kwake yeye mataifa yatakuwa na matumaini.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwake yeye mataifa yatakuwa na matumaini.” Neno: Bibilia Takatifu Katika Jina lake mataifa wataweka tumaini lao.” Neno: Maandiko Matakatifu Katika Jina lake mataifa wataweka tumaini lao.” BIBLIA KISWAHILI Na jina lake Mataifa watalitumainia. |
Na itakuwa katika siku hiyo, shina la Yese lisimamalo kuwa ishara kwa makabila ya watu, yeye ndiye ambaye mataifa watamtafuta; na mahali pake pa kupumzikia patakuwa na utukufu.
Hatazimia, wala hatakata tamaa, hata atakapoweka hukumu duniani; na visiwa vitaingojea sheria yake.
Wakati ule akaletewa mtu mwenye pepo, kipofu, naye ni bubu; akamponya, hata yule bubu akanena na kuona.
ambao Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika Mataifa, nao ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu