Matendo 8:8 - Swahili Revised Union Version Ikawa furaha kubwa katika mji ule. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kukawa na furaha kubwa katika mji ule. Biblia Habari Njema - BHND Kukawa na furaha kubwa katika mji ule. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kukawa na furaha kubwa katika mji ule. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo pakawa na furaha kuu katika mji huo. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo pakawa na furaha kuu katika mji huo. BIBLIA KISWAHILI Ikawa furaha kubwa katika mji ule. |
Mataifa waliposikia hayo wakafurahi, wakalitukuza neno la Bwana, nao waliokuwa wamekusudiwa uzima wa milele wakaamini.
Kisha, walipopanda kutoka majini, Roho wa Bwana akamnyakua Filipo, yule towashi asimwone tena; basi alikwenda zake akifurahi.