Matendo 7:22 - Swahili Revised Union Version Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo. Biblia Habari Njema - BHND Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mose alifundishwa mambo yote ya hekima ya Wamisri akawa mashuhuri kwa maneno na matendo. Neno: Bibilia Takatifu Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo. Neno: Maandiko Matakatifu Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa mtu hodari kwa maneno na matendo. BIBLIA KISWAHILI Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri, akawa hodari wa maneno na matendo. |
Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu kabisa; washauri wenye hekima wa Farao, ushauri wao umepumbazika; mwawezaje kumwambia Farao, Mimi ni mwana wa wenye hekima, ni mwana wa wafalme wa zamani?
vijana wasio na kasoro, wazuri wa uso, wajuzi wa hekima, werevu kwa sababu ya maarifa yao, wenye kufahamu elimu, watakaoweza kusimama katika jumba la mfalme; tena alimwambia awafundishe kusoma na kuandika, lugha ya Wakaldayo.
Akawauliza, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu wa Nazareti, aliyekuwa mtu nabii, mwenye uwezo katika kutenda na kunena mbele za Mungu na watu wote;