Matendo 3:5 - Swahili Revised Union Version Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. Biblia Habari Njema - BHND Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo yule mtu akawatazama, akitazamia kupata kitu kutoka kwao. BIBLIA KISWAHILI Akawaangalia, akitaraji kupata kitu kwao. |
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.