nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Matendo 24:3 - Swahili Revised Union Version basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Biblia Habari Njema - BHND Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Tunalipokea jambo hili kwa furaha daima na kutoa shukrani nyingi kwako kila mahali. Neno: Bibilia Takatifu Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati wote na kila mahali, kwa namna yoyote, mtukufu sana Feliksi, tumeyapokea mambo haya yote kwa shukrani nyingi. BIBLIA KISWAHILI basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote. |
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,
Akawaambia kuweka wanyama tayari wampandishe Paulo, na kumchukua salama kwa Feliki mtawala.
Naye alipoitwa, Tertulo akaanza kumshitaki, akisema, Kwa kuwa mnapata amani nyingi chini yako, Feliki mtukufu, na kwa uongozi wako mambo mabaya yanasuluhishwa kwa ajili ya taifa hili,
Lakini Paulo akasema, Sina wazimu, Ee Festo mtukufu, bali nanena maneno ya kweli na ya akili kamili.