Ndipo yule mtawala, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.
Matendo 19:7 - Swahili Revised Union Version Na idadi yao ilikuwa kama wanaume kumi na wawili. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili. Biblia Habari Njema - BHND Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wote jumla walikuwa watu wapatao kumi na wawili. Neno: Bibilia Takatifu Walikuwa wapatao wanaume kumi na wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Walikuwa kama wanaume kumi na wawili. BIBLIA KISWAHILI Na idadi yao ilikuwa kama wanaume kumi na wawili. |
Ndipo yule mtawala, alipoyaona yaliyotendeka, akaamini, akiyastaajabia mafundisho ya Bwana.
Na Paulo, alipokwisha kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao; wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.
Akaingia ndani ya sinagogi, akanena kwa ushujaa kwa muda wa miezi mitatu, akihojiana na watu, na kuwavuta katika mambo ya ufalme wa Mungu.