Lakini wale waliomsindikiza Paulo wakampeleka mpaka Athene; nao wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kwamba wasikawie kumfuata, wakaenda zao.
Matendo 18:1 - Swahili Revised Union Version Baada ya mambo hayo, Paulo akatoka Athene akafika Korintho. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Baada ya hayo, Paulo aliondoka Athene, akaenda Korintho. Biblia Habari Njema - BHND Baada ya hayo, Paulo aliondoka Athene, akaenda Korintho. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Baada ya hayo, Paulo aliondoka Athene, akaenda Korintho. Neno: Bibilia Takatifu Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho. Neno: Maandiko Matakatifu Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho. BIBLIA KISWAHILI Baada ya mambo hayo, Paulo akatoka Athene akafika Korintho. |
Lakini wale waliomsindikiza Paulo wakampeleka mpaka Athene; nao wakiisha kupokea maagizo kuwapelekea Sila na Timotheo, ya kwamba wasikawie kumfuata, wakaenda zao.
Paulo alipokuwa akiwangojea huko Athene na kuona jinsi mji ule ulivyojaa sanamu, roho yake ilichukizwa sana ndani yake.
Na Krispo, mkuu wa sinagogi, akamwamini Bwana pamoja na nyumba yake yote. Wakorintho wengi waliposikia, waliamini, wakabatizwa.
Ikawa, Apolo alipokuwa Korintho, Paulo, akiisha kupita kati ya nchi za juu, akafika Efeso; akakutana na wanafunzi kadhaa huko;
kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, wale waliotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu, pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo kila mahali, Bwana wao na wetu.
Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu; kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, pamoja na watakatifu wote walioko katika nchi yote ya Akaya.
Lakini mimi namwita Mungu awe shahidi juu ya roho yangu, ya kwamba, kwa kuwahurumia sijafika Korintho.