Wakati Petro alipokuwa akisumbuka ndani ya nafsi yake, juu ya maana ya maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakatokeza. Walikuwa kukiulizia nyumba ya Simoni, wakiwa wamesimama mbele ya lango,
Matendo 10:18 - Swahili Revised Union Version wakaita; wakauliza kama Simoni aitwaye Petro anakaa humo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Biblia Habari Njema - BHND wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?” Neno: Bibilia Takatifu Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo. Neno: Maandiko Matakatifu Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo. BIBLIA KISWAHILI wakaita; wakauliza kama Simoni aitwaye Petro anakaa humo. |
Wakati Petro alipokuwa akisumbuka ndani ya nafsi yake, juu ya maana ya maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakatokeza. Walikuwa kukiulizia nyumba ya Simoni, wakiwa wamesimama mbele ya lango,
Na Petro alikuwa akiyafikiri yale maono. Roho akamwambia, Wako watu watatu wanakutafuta.
Na tazama, mara hiyo watu watatu wakasimama mbele ya nyumba tuliyokuwamo, waliotumwa kwangu kutoka Kaisaria.