Matendo 10:13 - Swahili Revised Union Version Kisha sauti ikamjia, kusema, Inuka, Petro, uchinje ule. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Biblia Habari Njema - BHND Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Neno: Bibilia Takatifu Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” BIBLIA KISWAHILI Kisha sauti ikamjia, kusema, Inuka, Petro, uchinje ule. |
ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.
Lakini Petro akasema, La, hasha! Bwana, kwa maana sijawahi kula kitu kilicho kichafu au najisi.