Wakatokea Mafarisayo, wakaanza kuhojiana naye; wakitafuta kwake ishara itokayo mbinguni; wakimjaribu.
Marko 9:16 - Swahili Revised Union Version Akawauliza, Mnajadiliana nini nao? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akawauliza, “Mnajadiliana nini nao?” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akawauliza, “Mnajadiliana nini nao?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akawauliza, “Mnajadiliana nini nao?” Neno: Bibilia Takatifu Akawauliza wanafunzi wake, “Mnabishana nao kuhusu nini?” Neno: Maandiko Matakatifu Akawauliza wanafunzi wake, “Mnabishana nao kuhusu nini?” BIBLIA KISWAHILI Akawauliza, Mnajadiliana nini nao? |
Wakatokea Mafarisayo, wakaanza kuhojiana naye; wakitafuta kwake ishara itokayo mbinguni; wakimjaribu.