Marko 8:37 - Swahili Revised Union Version Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake? Biblia Habari Njema - BHND Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ama mtu atatoa kitu gani badala ya maisha yake? Neno: Bibilia Takatifu Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? Neno: Maandiko Matakatifu Au mtu atatoa nini badala ya nafsi yake? BIBLIA KISWAHILI Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake? |
Maana kila mtu atakayenionea haya mimi, na maneno yangu, katika kizazi hiki cha uzinzi na dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea haya mtu huyo, atakapokuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.