Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Marko 8:1 - Swahili Revised Union Version

Katika siku zile, kwa vile ulivyokuwa mkuu tena ule mkutano, nao wamekosa kitu cha kula, akawaita wanafunzi wake, akawaambia,

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Wakati huo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. Basi, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Wakati huo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. Basi, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Wakati huo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena, na hawakuwa na chakula. Basi, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Katika siku hizo, umati mkubwa wa watu walikusanyika tena. Kwa kuwa walikuwa hawana chakula, Isa akawaita wanafunzi wake akawaambia,

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Katika siku hizo, umati mkubwa wa watu ulikusanyika tena. Kwa kuwa walikuwa hawana chakula, Isa akawaita wanafunzi wake akawaambia,

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Katika siku zile, kwa vile ulivyokuwa mkuu tena ule mkutano, nao wamekosa kitu cha kula, akawaita wanafunzi wake, akawaambia,

Tazama sura
Tafsiri zingine

Marko 8:1
3 Marejeleo ya Msalaba  

wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena, Ametenda mambo yote vema; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme.