Marko 6:40 - Swahili Revised Union Version Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Biblia Habari Njema - BHND Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nao wakaketi makundimakundi ya watu 100 na ya watu hamsini. Neno: Bibilia Takatifu nao wakaketi kwenye vikundi vya watu mia mia, na wengine hamsini hamsini. Neno: Maandiko Matakatifu nao wakaketi kwenye makundi ya watu mia mia na wengine hamsini hamsini. BIBLIA KISWAHILI Wakaketi safu safu, hapa mia hapa hamsini. |
Akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama mbinguni, akashukuru, akaimega ile mikate, akawapa wanafunzi wake wawaandalie; na wale samaki wawili akawagawia wote.