Akawaambia wanafunzi wake ya kwamba mashua ndogo ikae karibu naye, kwa sababu ya mkutano, wasije wakamsonga.
Marko 6:32 - Swahili Revised Union Version Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Biblia Habari Njema - BHND Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha. Neno: Bibilia Takatifu Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. Neno: Maandiko Matakatifu Hivyo wakaondoka kwa mashua peke yao, wakaenda mahali pasipo na watu. BIBLIA KISWAHILI Wakaenda zao faragha mashuani, mahali pasipokuwa na watu. |
Akawaambia wanafunzi wake ya kwamba mashua ndogo ikae karibu naye, kwa sababu ya mkutano, wasije wakamsonga.
Wakauacha mkutano, wakamchukua vile vile alivyokuwa katika mashua. Na mashua zingine zilikuwako pamoja naye.
Watu wakawaona wakienda zao, na wengi wakatambua, wakaenda huko mbio kwa miguu, toka miji yote, wakatangulia kufika.
Mara akawalazimisha wanafunzi wake wapande mashuani, watangulie kwenda ng'ambo hata Bethsaida, wakati yeye alipokuwa akiwaaga mkutano.