Marko 5:8 - Swahili Revised Union Version Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Biblia Habari Njema - BHND Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Neno: Bibilia Takatifu Kwa kuwa Isa alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” Neno: Maandiko Matakatifu Kwa kuwa Isa alikuwa amemwambia, “Mtoke mtu huyu, wewe pepo mchafu!” BIBLIA KISWAHILI Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. |
akapiga kelele kwa sauti kuu, akasema, Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuapisha kwa Mungu usinitese.
Akafanya hayo siku nyingi. Lakini Paulo akasikitika, akageuka akamwambia yule pepo, Nakuamuru kwa jina la Yesu Kristo, mtoke huyu. Akamtoka saa ile ile.