Yesu akatazama kotekote, akawaambia wanafunzi wake, Jinsi itakavyokuwa shida wenye mali kuingia katika ufalme wa Mungu!
Marko 5:32 - Swahili Revised Union Version Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo. Neno: Bibilia Takatifu Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini Isa akaangalia pande zote ili aone ni nani aliyemgusa. BIBLIA KISWAHILI Akatazama pande zote ili amwone yule aliyelitenda neno hilo. |
Yesu akatazama kotekote, akawaambia wanafunzi wake, Jinsi itakavyokuwa shida wenye mali kuingia katika ufalme wa Mungu!
Wanafunzi wake wakamwambia, Je! Wawaona makutano wanavyokusongasonga, nawe wasema, Ni nani aliyenigusa?
Na yule mwanamke akaingiwa na hofu na kutetemeka, akijua lililompata, akaja akamwangukia, akamweleza ukweli wote.