waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Marko 5:11 - Swahili Revised Union Version Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakila. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Biblia Habari Njema - BHND Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe malishoni kwenye mteremko wa mlima. Neno: Bibilia Takatifu Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. Neno: Maandiko Matakatifu Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe lililokuwa likilisha karibu kando ya kilima. BIBLIA KISWAHILI Na hapo milimani palikuwa na kundi kubwa la nguruwe, wakila. |
waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Yeye achinjaye ng'ombe ni kama yeye amwuaye mtu; na yeye atoaye dhabihu ya mwana-kondoo ni kama yeye avunjaye shingo ya mbwa; na yeye atoaye matoleo ni kama yeye atoaye damu ya nguruwe; na yeye afukizaye uvumba ni kama yeye abarikiye sanamu; naam, wamezichagua njia zao wenyewe, na nafsi zao zafurahia machukizo yao.
Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
Basi, hapo palikuwa na kundi la nguruwe wengi wakilishwa mlimani; wakamsihi awape ruhusa kuwaingia wale. Akawapa ruhusa.
na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse.