Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Marko 3:31 - Swahili Revised Union Version Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Biblia Habari Njema - BHND Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mama yake Yesu na ndugu zake walifika hapo, wakasimama nje, wakampelekea ujumbe kumwita. Neno: Bibilia Takatifu Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakiwa wamesimama nje, wakamtuma mtu kumwita. Neno: Maandiko Matakatifu Kisha wakaja ndugu zake Isa pamoja na mama yake. Wakasimama nje, wakamtuma mtu kumwita. BIBLIA KISWAHILI Wakaja mamaye na nduguze; wakasimama nje, wakatuma mtu kumwita. |
Jamaa zake walipopata habari wakatoka kwenda kumkamata; maana walisema, Amerukwa na akili.
Na makutano walikuwa wameketi, wakimzunguka, wakamwambia, Tazama, mama yako na ndugu zako wako nje, wanakutafuta.