Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.
Marko 2:3 - Swahili Revised Union Version Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Biblia Habari Njema - BHND wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo baadhi ya watu wakaja wakamletea Isa mtu aliyepooza, akiwa amebebwa na watu wanne. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo baadhi ya watu wakaja wakamletea Isa mtu aliyepooza, akiwa amebebwa na watu wanne. BIBLIA KISWAHILI Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wanne. |
Na habari zake zikaenea katika Shamu yote; wakamletea wote waliokuwa wagonjwa, walioshikwa na maradhi mbalimbali na mateso, wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.