Marko 2:11 - Swahili Revised Union Version Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!” Biblia Habari Njema - BHND “Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nakuambia simama; chukua mkeka wako uende nyumbani!” Neno: Bibilia Takatifu “Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.” Neno: Maandiko Matakatifu “Nakuambia, inuka, chukua mkeka wako, uende nyumbani kwako.” BIBLIA KISWAHILI Nakuambia, Ondoka, ujitwike godoro lako uende nyumbani kwako. |
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (hapo amwambia yule mwenye kupooza),
Mara akaondoka, akajitwika godoro lake, akatoka mbele yao wote; hata wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakisema, Hatujawahi kuona jambo kama hili kamwe.
Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.