Marko 15:38 - Swahili Revised Union Version Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hadi chini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Biblia Habari Njema - BHND Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu mpaka chini. Neno: Bibilia Takatifu Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini. Neno: Maandiko Matakatifu Pazia la Hekalu likachanika vipande viwili kuanzia juu hadi chini. BIBLIA KISWAHILI Pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hadi chini. |
tuliyo nayo kama nanga ya roho, yenye salama, yenye nguvu, yaingiayo hata mle mlimo ndani ya pazia,