Marko 15:30 - Swahili Revised Union Version jiponye nafsi yako, ushuke msalabani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!” Biblia Habari Njema - BHND Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Sasa, shuka msalabani ujiokoe mwenyewe!” Neno: Bibilia Takatifu basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!” Neno: Maandiko Matakatifu basi shuka kutoka msalabani na ujiokoe mwenyewe!” BIBLIA KISWAHILI jiponye nafsi yako, ushuke msalabani. |
Nao waliokuwa wakipita njiani wakamtukana, wakitikisatikisa vichwa, wakisema, Ahaa! Wewe mwenye kulivunja hekalu na kulijenga katika siku tatu,
Kadhalika na wakuu wa makuhani wakamdhihaki wao kwa wao, pamoja na waandishi, wakisema, Aliponya wengine; hawezi kujiponya mwenyewe.