Marko 14:71 - Swahili Revised Union Version Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Biblia Habari Njema - BHND Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini Petro akaanza kulaani na kuapa akisema, “Mimi simjui mtu huyu mnayesema habari zake.” Neno: Bibilia Takatifu Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” Neno: Maandiko Matakatifu Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!” BIBLIA KISWAHILI Akaanza kulaani na kuapiza, Simjui mtu huyu mnayemnena. |
Akakana tena. Kitambo kidogo tena wale waliosimama pale wakamwambia Petro, Hakika u mmoja wao, kwa sababu u Mgalilaya wewe.
Na mara jogoo akawika mara ya pili. Petro akalikumbuka lile neno aliloambiwa na Yesu, Kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu. Na alipolifikiri, akalia.