Marko 14:29 - Swahili Revised Union Version Petro akamwambia, Hata wajapokunguwazwa wote, lakini siyo mimi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Biblia Habari Njema - BHND Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Petro akamwambia “Hata kama wote watakuwa na mashaka nawe na kukuacha, mimi sitakukana kamwe!” Neno: Bibilia Takatifu Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” Neno: Maandiko Matakatifu Petro akasema, “Hata kama wengine wote watakuacha, mimi sitakuacha.” BIBLIA KISWAHILI Petro akamwambia, Hata wajapokunguwazwa wote, lakini siyo mimi. |
Yesu akamwambia, Amin, nakuambia wewe, Leo, usiku huu, kabla ya kuwika jogoo mara mbili, utanikana mara tatu.
Basi walipokwisha kula, Yesu akamwambia Simoni Petro, Je! Simoni wa Yohana, wewe wanipenda kuliko hawa? Akamwambia, Naam, Bwana, wewe wajua kuwa nakupenda. Akamwambia, Lisha wana-kondoo wangu.