Marko 14:19 - Swahili Revised Union Version Wakaanza kuhuzunika, wakamwambia mmoja mmoja, Je! Ni mimi? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Biblia Habari Njema - BHND Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hapo wanafunzi wake wakaanza kuhuzunika, wakamwuliza mmojammoja, “Je, ni mimi?” Neno: Bibilia Takatifu Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi, Bwana?” Neno: Maandiko Matakatifu Wakaanza kuhuzunika na kumuuliza mmoja baada ya mwingine, “Je, ni mimi Bwana?” BIBLIA KISWAHILI Wakaanza kuhuzunika, wakamwambia mmoja mmoja, Je! Ni mimi? |
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.